Radio search
• Blues
• Classical
• Country
• Electronica
• Jazz
• Pop
• Retro
• Rock
• Talk
• Tropical
• Urban
• Various & Other
• World music
« prev radio stationnext radio station »

Listen to live streaming radio stations


Radio station:

Radio Maria Tanzania


Country: Tanzania
Language: Swahili
City: Dar Salaam
Stream type: Win Media 32k
Genre: Various & Other - Religious
Rating: Radio Maria Tanzania Rating 4 stars

Website:
http://www.rm.radiomariatanzania.co.tz/
Listen to Radio Maria Tanzania now!

Listen to Radio Maria Tanzania online now!

Radio Maria Tanzania Reviews

17-05-2013  |  
Vungwa
Ikiwa sehemu ninayoishi siipati redio maria kupitia redio kawaida mfano TABORA,nifanyeje ili niipate,kwani siku moja wakati nikisikiliza kwenye mtadao ninapofanyia kazi nilisikia kwamba kuna aina ya redio maalumu unaweza kuipata basi naomba ushauri kwa hilo. Asante.
If I live I receive part radio radio maria usually TABORA example, what should I do to niipate, because one day when I heard on the internet I work through I heard that there are special radio you can find it then I ask for the advice.
16-05-2013  |  
Vungwa
Naikubali,kwa kua inaniimarisha kiroho na kimwili.
Accept, to grow spiritually and physically.
13-05-2013  |  
Jamoo M
very good
09-05-2013  |  
ROBERT M
Tunaipenda Radio Maria sana ombi langu kwenu sogezeni huduma huku tabora.
We love Radio Maria.
05-05-2013  |  
Vungwa V
Redio Maria ni chombo chenye sifa na utukufu kwani kimenijenga na kinaendelea kunijenga naomba mungu aendelee kubariki utume huuu ili uweze kuenea Tanzania yote na duniani kote...
Radio Maria is a body of praise and glory and allow God to continue to bless the mission Tanzania so you can spread all over the world and ...
16-04-2013  |  
Anna
the radio is doing great
29-03-2013  |  
tumaini
asanteni sana radio maria kwa kurusha matangazo haya hata sie tulombali na Tanzania tumeweza kujumuika Mungu awabariki sana.
thank you maria radio broadcast for this even guess tulombali and Tanzania we can join God bless you too.
18-03-2013  |  
Steven U
Nothing much but stay blessed in the name of JESUS.
11-03-2013  |  
alfa mbawala,songea
tumshukuru MUNGU kwa wote wanaoihudumia redio maria kwa hali na mali,shime watanzania tuichangie redio yetu iweze kuendeleza uenezaji wa enjili.
thank GOD for all who attended the radio maria and morale, Tanzanians participate tuichangie our radio can promote the spread of the gospel
25-02-2013  |  
Steven
Nawashukuru kwa kueneza ijili kupitia mtandao. kutoka Nairobi
I thank you for spreading radio via the internet. from Nairobi
20-01-2013  |  
paul k.
the station is so good only that we Kenyans we don’t get it unless using through computer GOD bless you all .
28-12-2012  |  
Sr. Clementia
Very inspiring. Helps us pray all the time! It is a very educative station and makes us contemplate about God's wonders in our lives.
19-12-2012  |  
FABIAN
I LIKE IT. IT PRONOUS A REAL CHRISTIANS BELIEVE
15-12-2012  |  
Emeline
this is the best station ever.
11-12-2012  |  
festo
is very good radio,it teachs us and also is the kind of radio which touchs the hearts of people.it is a kind of participatory and sacrifice way
21-11-2012  |  
Deogratias Mwalutanile
Hakika Radio Maria ni chombo madhubuti cha uinjilishaji, Mungu awabariki.
Surely Radio Maria is an effective tool of evangelization, God bless.
12-11-2012  |  
Renath
The station is good and valuable in teaching people especially those who are far from churches words of God. The problem is internet some time we dont get it.
05-11-2012  |  
Jamoo
the best one
16-10-2012  |  
Stanislas
We are not getting this good station here in Bukoba township. What can we do?
12-10-2012  |  
Hope
I like this radio much, it teaches the gospel and make one feel so blessed.
03-10-2012  |  
happiness frederick mtui
mimi ni mtanzania lakini sasa nipo Ujerumani Guteslow nimekua msikilizaji mzuri wa Radio hii Toka nikiwa Tanzania nimefurahi sana kusikia huku tenanaipata Radio Maria niko nanyi pamoja kwa mchango wangu kama kawaida chochote nikipatacho sitasahau imeniinua kiroho sana pia najisikia furaha sana katika familia yangu kusikiliza radio ya nyumbani. nashukuru Mungu sana nasali nanyi Rozari kipindi hiki pamoja nanyi.Tumsifu Yesu Kristu popote Duniani.
I am a Tanzanian but now I am in Germany Guteslow have become a good listener of Radio this out if Tanzania'm so glad to hear while tenanaipata Radio Maria I'm with you along with my contribution as usual nothing I will explain I will not forget most spiritual also feel very happy in my family listening to the radio at home. I am grateful to God and you pray the Rosary during this period with nanyi. Jesus Christ anywhere in the world.
27-09-2012  |  
Vungwa
Redio Maria (Swahili) ni Redio inayotujenga Kimwili na kiroho.Ombi langu ni kwamba je kunamikakati gani yenyekuwezesha isikike zaidi kupitia redio kutufikia mikoa mingi zaidi mfano; Tabora na Kigoma kwani hivi naongea mimi mwenyewe naipata kupitia kwenye computer.
22-09-2012  |  
Peter Kifunguomali
Nawashukuru kwa utume wenu, nafarijika sana napoisikia radio Maria.Kwa sisi tulio nje ya Tanzania tunajikia faraja sana kama vile tuko nyumbani Tanzani.Mungu ibariki radio Maria.
I thank you for your station. We who are outside Tanzania we have much comfort as we're home Tanzani. Bless radio Maria.
21-09-2012  |  
DEO K.
Inafanya vema sana kwani ina ijirisha vizuri, na wengi tunafarijika tunapo isikiliza.
It does very well as it has ijirisha, and many are comforted when we listen.
18-09-2012  |  
Baltazari
Good local programmes. But radio coverage is still limited to some parts of the country e.g. Manyoni district, Tanzania
01-09-2012  |  
MILLANZI
THIS IS NOT RADIO MARIA TANZANIA PLEASE
30-08-2012  |  
ERASTO PAUL
RADIO MARIA TANZANIA
29-08-2012  |  
Vungwa
This radio make me close my God spiritual

Next 5 online religious radio stations